Pole na majukumu, mimi ni mwalimu ktk manispaa ya dodoma mjini, natafuta mtu wa kubadilisha naye aende dodoma nije ,mbeya mjini, aliye tayari tuwasiliane then ntampa contact zangu asante
Nipo Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji ani PM tuweze kuwasiliana
Anayetaka kuhamia tanga jiji na mimi nije morogoro manispaa atume private message. Nitawasiliana naye tubadilishane. Nafundisha sekondari, masomo ya biashara.
Karibu sana tanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.