Fatma hamis
Member
- Jun 25, 2014
- 9
- 0
Kwa anaetaka kuja kibondo idara secondary plz 2wacliane
Piga kazi Mwalimu ukiwa na fikra za kuhama akili yako haitatulia. Nchi hii ni kubwa na ni yetu sote hivyo jisikie uko nyumbani popote utakapo pelekwa kufanya kazi. unaweza kuhamia Sumbawanga saa hizi badae ukahamishiwa Tarime.
Piga kazi jembe ajira za serikali ni kambi popote.
0682525659 nicheki kwa namba hiiNjoo musoma nije mtwara
vyote vyawezekana, ila wilaya anamaliza katibu tawala na mkoa anamaliza tamisemi