WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

DONDWE ipo wilaya ya ILALA, Ungemuuliza PEMBA MNAZI ni Temke na nauli yake inashabihiana na hiyo ulotaja hapo juu.
 
Kwa anayetaka kubadilishana njoo GEITA MJI mimi nije kati ya TANGA JIJI,MOROGORO MJI,HAI MJI na MKINGA,(idara sekondari).
 
mm ni mwl idara ya msing nipo kilind tanga natafuta mwl wa kubadilishana kituo cha kaz kutoka wilaya yoyote ya mkoa kilimanjaro no 0766560556
 
hellow wanajamvi nko TUNDURU,RUVUMA idara secondary msumbij unaenda kwa mguu aliyeko tayar kutoka Mwanza ani PM
 
hellow wanajamvi nko TUNDURU,RUVUMA idara secondary msumbij unaenda kwa mguu aliyeko tayar kutoka Mwanza ani PM
 
Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji ani PM ili tuanze mawasiliano.
 
Walimu idara ya msingi njoo iringa nije songea,mbinga,Moro,dar kwa mawasiliano 0758504091
 
Back
Top Bottom