WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Vumilia tu huko, sisi tunakuja kuwajengea na nyumba za wafanyakazi hapo town.....
 
Anayeta kasulu mjini..Hwaz secondary aje Mimi nenda mwanza- ilemela au nyamagana...Nafuata familiya yangu.0766866717. Zawad nono
 
Nenda CHATO MJINI_GEITA (sec), dogo aje DODOMA MANISPAA, MOROGORO MANISPAA au PWANI. Wasiliana naye: 0764264315.
 
Aje BAGAMOYO niende KILOMBERO au MORO MJINI idara ya sekondari.,0683081550.
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aje Mwanga Kilimanjaro aliyepo Dar wilaya yoyote,Bagamoyo,Mkuranga au Kibaha idara ya sekondari.
Naomba kama yupo aweke tangazo ntaliona au anitumie meseji.Akipatikana wa Dar kuna zawadi nzuri sana atapata
 
Nani anataka kuja Ludewa idara ya secondary nipazuri ati,,,kuna umeme namaji
 
mlw njoo Hai kilimanjaro nije kilindi tanga au bagamoyo pm kwa mawasiloano idara secondary
 
Back
Top Bottom