WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Yupo MBEYA-MBOZI,anataka kwenda Moro Manispaa au Ilemela/Nyamagana(MWANZA).Idara Sec.
0767969292.
 

Njoo Tabora Kama Hutojali Uwe Umesogea Kdogo Jran Na Tanga Cal 0753705024
 
wakuu kwa anayejua lolote kuhusu uhamisho wa watumishi kutoka tamisemi kwa mwez wa 9 atujuze. p/se
 
njoo masasi mtwara mimi niende
TANGA
ARUSHA
KILLIMANJARO
MANYARA
MOROGORO
SINGIDA
MWANZA

Wilaya zozote katiki mikoa hiyo isipokuwa UKEREWE
0757974776
 
jamanieeeee mimi mwalimu idara msingi nipo singida-iramba(shelui)
Kwa yeyote kutoka mikoa ya pwani na Dar es salam popote. tuwasiliane tuanze mchakato.
 
Idara elimu msingi,njoo singida nije Tanga popote isipokuwa kilindi.
Nipo town kiasi pg au bp
0684 71 18 18.
 
Mwl idara ya SEC yupo KATAVI-MPANDA shule KAREMA HIGH SCHOOL anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka eidha DODOMA POPOTE AU MOROGORO POPOTE.
Na 0756231236/0752017361.
 
Mwl idara ya msingi Misseny mkoani kagera, natafuta mwl wa kubadilishana nae mkoa wa pwani, morogoro au mbeya wilaya yoyote
 
kuna mwalimu wa sec yupo monduli arusha anahitaji kwenda dar wilaya yyt. halafu wadau wa humu tuwe tunatafutiana chaneli na kujibiana tutoke life la kuwaza uhamisho gumu. unakonda hata kama unakula vizuri. p
 
Idara ya secondary kusini ...anayehitaj kam yuko mkuranga ..rufij...ikwiriri na dar es salaam tuwasiliane kwa namba 0756502249
 
wa kusin LINDI ndo hampo mbona kimya tuwasiliane aliye mkuranga..ikwiriri ..dar es salaam ana anataka kurudi lindi namba ni 0756502249 ..1998suley@gmail.com
 
Nenda ushetu kahama rafiki yangu aende Mkalama singida,idara elimu msingi.pg au bp nikuunganishe.0684 71 18 18.
 
Idara sekondari anayehitaji kuja Ngara kutokea Dodoma manispaa au Mpwapwa ani PM tuanze michakato.
 
km ww ni mwalimu idara ya sekondari hii inakuhusu km unatokea dodoma na unataka kuja huku Ngara we ni PM tuanze michakato.
 
MWL. MSINGI KUTOKA MSASI MJINI, MTWARA MJINI, NEWALA, MTWARA VIJIJINI AJE LUSHOTO MJINi-TANGA. 0712277195/ 0789803484
 
Mwl. Msingi kutoka newala, mtwara mjini, mtwara vijijini na masasi mjini aje lushoto tanga. 0712277195
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…