WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mi mwalimu
wa primary kibaha naitaji wa kubadilisha na mwalimu kutoka dar es salaam wilaya yoyote nicheck inbox nina miaka 4 kazin wahi nafsi Adam hii piga 0783815828
 
MWL. MSINGI KUTOKA MSASI MJINI, MTWARA MJINI, NEWALA, MTWARA VIJIJINI AJE LUSHOTO MJINi-TANGA. 0712277195/ 0789803484

nipo Masasi tokea shule ilipo hadi town ni 3000 usafiri wa uhakika kama vipi njoo huku pote si kusini tu
 
Kuna mwalimu anafundisha bukoba mjini,anahitaji kuhamia wilaya ya kibaha.namba yake ya simu ni 0786444934 na 0757214405 kwa maelezo ya ziada
 
Nipo MUFINDI IRINGA NATAKA NIJE ARUSHA POPOTE!ALIYE TAYARI TUBADILISHANE ANIAMBIE 0755814442
 
mimi nipo Mbinga nahitaj kuhamia manispaa ya Singida mawasiliano yangu ni 0788984980
 
Njoo Lindi-Nachingwea nije Iringa mjini, Mbeya Mjini au Morogoro mjini nichek 0659466436
 
Mwl idara ya sekondari yupo wilaya ya newala mkoa wa mtwara,anatafuta mwl wa kubadilishana kutoka ktk mkoa TANGA AU PWANI.KWA MKOA WA TANGA MWL AWE Kati ya wilaya ya korogwe,lushoto,muheza,Bumbuli au Tanga jiji na KWA MKOA WA PWANI awe kati ya wilaya ya Bagamoyo,mkuranga,chalinze,kisarawe au kibaha.KWA ALIYE TAYARI MAWASILIANO ZAIDI piga 0783677207,0767665619 Au 0717765619
 
Ndugu walimu idara ya MSINGI mliko Halmashauri ya wilaya Mpwapwa, Bahi na Dodoma Manispaa karibuni wilayani Mbogwe mkoani Geita kama upo tayari kuja huku kwa kubadilishana tuwasiliane kwa namba hii 0758974066 au 0763463729.
 
NARUDIA KUWATAHADHARISHA walimu wenzangu KUWA JF KUNA WATU WANAJIFANYA MAAFISA tamisemi WAKIKUPIGIA CM.
NB: ANAEWEZA KUKUHAMISHA KWA RUSHWA HAJITANGAZI WALA KUKUTAFUTA KUWA MAKINI NDUGU YANGU WEWE KAMA HUWEZI KUWEKA TANGAZO jf WATAFUTE WANAOWEZA KUKUSAIDIA KULIKO KUHONGA UTA TAPELIWA BURE HUWO UKWELI NAKUAMBIA NJIA PEKEE WEKA TANGAZO KAMA HUWEZI KUPOST TANGAZO JF NITAFUTE NITAKUSAIDIA.
No 0756231236 au 0689270867.
 
Anayetaka kuja Dodoma Kondoa mi nije kilimanjaro au Tanga ni PM idara ya msingi
 
Njoo jiji la MWANZA (NYAMAGANA) sekondari. Kama upo Dar/ Kibaha/ Bagamoyo au Morogoro.tuwasiliane: 0756 808875.
 
This exchange do no differ from barter trade, it becomes so hard due to double coincidence! Why don't you think of alternative way.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums[/QU
 
mimi mwalm mashauri, nko wilaya kilosa,idara elm sekndari, nina miaka 5 kazn. Naomba kubdlishana na mwalm toka mwanza wilaya yoyote icpokuwa ukerewe na kwimba. Mwenyenia ani Pm, ntakujb
 
Mimi mwalimu mashauri,niko wilaya kilosa idara ya elm sekondari. Nahtaj kbadil k2o cha kaz na mwalm aliyeko mwanza wilaya yoyote icpokuwa ukerewe na kwimba. Nina miaka 5 kazn, pm 2wacliane. 0765 183701
 
Back
Top Bottom