NARUDIA KUWATAHADHARISHA walimu wenzangu KUWA JF KUNA WATU WANAJIFANYA MAAFISA tamisemi WAKIKUPIGIA CM.
NB: ANAEWEZA KUKUHAMISHA KWA RUSHWA HAJITANGAZI WALA KUKUTAFUTA KUWA MAKINI NDUGU YANGU WEWE KAMA HUWEZI KUWEKA TANGAZO jf WATAFUTE WANAOWEZA KUKUSAIDIA KULIKO KUHONGA UTA TAPELIWA BURE HUWO UKWELI NAKUAMBIA NJIA PEKEE WEKA TANGAZO KAMA HUWEZI NITAFUTE UTASAIDIWA.
No 0756231236 au 0689270867.
Tena kuna mmoja anajiita mwalim baraka huyu ni tapeli mkubwa namba zake ni 0765398571 huyu anajifanya kapata uhamisho wa dharura kutoka kwa huyu Anajiita mzee wa tamisemi namba yake ni 0758987092 na mwingine yupo humu humu yeye kazi yake kukuunganisha kwa hao matapeli wenzie namba zake ni 0763438098 huyu hujifanya yeye yuko Dar sekondar ya wazo ukimwambia ww ni idara ya sekondar anakwambia yy yuko msingi labda akuunganishe na wasekondar hapo ndo anakupeleka kwa hao matapeli wenzie.KUWENI MAKINI JAMANI USIPOTAPELIWA KWA JIA HIYO UTATAPELIWA KWA NJIA NYINGINE.
Ukiiona unaetaka kubalishana nae anaingiza maswala ya pesa jua huyo mwizi.
Walimu wengi wametapeliwa.
Friend wangu aende sengerema idara ya secondary