Ngao yangeyange
Member
- Jan 2, 2014
- 87
- 1
Idara gani? Msingi au sekondari.kama msingi kuna mtu yupo sengerema ukiwa upo tayari nicheki ktk 0783677207
Mi nipo Mwanza nataka kuhamia moro
Mwl DEVU Idara MSINGI yupo BUNDA-MARA anatafuta mwl mwenzake kutoka eidha DODOMA,MOROGORO AU SINGIDA POPOTE.
Na 0756231236 au 0766304711
Mwalimu shule ya msingi kama upo mwanza,sengerema,geita njoo Ngara mi nije huko.alie tayar ani pm
Uko serius kweli wewe?
Nipo serious sana mkuu
nipo mufindi iringa shule ya msingi nyololo umeme na maji tele
naomba kubadilishana na mwalimu aliye wilaya ya babati
shule yoyote Mawasiliano 0755010609