WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

ELIMU___secondary' nipo ikwiriri rufiji maji umeme poa sana' ni jirani na dar nauli ni elfu tano/nne____kwa aliyeko KAHAMA MJI/shinyanga manispaa tubadilishane nae______anicheki 0719198411.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums


KUNA MWL SEC. YUKO JIJI LA MWANZA ANATAKA MTU WA KUBADILISHANA NAE KUTOKA DAR. Aliye tayari tuwasiliane
 
ELIMU___secondary' nipo ikwiriri rufiji maji umeme poa sana' ni jirani na dar nauli ni elfu tano/nne____kwa aliyeko KAHAMA MJI/shinyanga manispaa tubadilishane nae______anicheki 0719198411.
Mwl,njoo Muleba nikaribu na Kahama,masaa matano tu kutoka Muleba kuja Kahama, mimi nije ikwiriri!.
 
LAST ANNOUNCEMENT!
nenda ushetu kahama idara elimu msingi rafiki yangu aje h/w mkalama singida piga au bp 0684711818 nikuunganishe.
 
Nipo Nansio Ukerewe naomba wa kubadilishana nae niende jijini Mwanza yeye aje Nansio -Ukerewe. Namba zangu ni 0689908685.
 
NJOO LINDI VIJIJINI KARIBU NA MTAMA NJIA YA NEWALA NA PIA MASASI NIJE PWANI YA KIBAHA,RUFIJI,MKURANGA n.b Private Message kwa mawasiliano
 
Njoo kilwa-lindi...Idara ya sekondari..dogo aje mkuranga,bagamoyo,Dar au Moro
 
Natafuta mwl anayenda kuja maswa idara sec. kutoka mby, moro, dsm, dom iringa njb unayehitaj npm mwambie na mwenzio
 
Nataka wa kubadilishana na mwalim toka jj la mwanza aje bukoba mjini nami nije mwanza. mm nafundisha bukoba mujini.
 
Kuna mwalimu yupo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro anahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka wilaya yoyote mkoa wa Mwanza. Amtafute kwa namba 0764914405
 
Jamani afisa kilimo ii anayetaka kuja handeni mimi niende kilolo, mufindi, iringa v, ir mjini. 0753235211
 
Back
Top Bottom