ulirckymtang'ase
Member
- Mar 2, 2014
- 60
- 3
Uje tabora uyui karibu kabisaa na manispaa mm nije morogoro ifakra au pwan au rombo mosh
Habari zenu walimu
Ninamatumaini ni wazima na mnaendelea vizuri kabisa na shughuli zenu za kazi popote mlipo.nawatakia kazi njema nashughuli njema.
Kuna jambo nataka kuwashauri,mwanzoni kabisa wa hii page kuna maelezo ya kina na mwandishi ametadharisha kuhusiana na kutoa namba na akasema ukiweka namba itakuwa at your own risk,nilimwelewa lakin tafsiri yangu ilikuwa tofauti ila kwa ss nimemuelewa zaidi na nataka kuwashauri kwani mm nimestuka mapema .inawezekana wenzangu bado.
Kuna watu wanachukua namba hapo kisha anakutumia sms.
Mfano:
"Habari yako mzima mm nilifanikiwa kuhama na kwa ss nipo tumbi.asanthe".
Hiyo sms ni ya mtego,akijua kabisa utamtafuta kumuuliza alifanikiwa vipi kuhama.na nikweli ndivyo inavyokuwa,ukishampigia atakupa maelezo na kukwambia kuwa kuna mtu alimsaidia.na kwa kumuamini utamwambia mwambie jamaa nae akusaidie.kumbe ndo unaliea bila kujua.
Huu ni mtandao,atakupa namba ya mtu mwingine na mtaanza kufanya mchakato atakuambia kuna gharama kiasi fulani.na kwa kuwa yule mtu wa kwanza alikuhakikishia bhasi utajikuta umetuma pesa na matokeo yake utakuwa umetapeliwaaa.
Kuweni makini na hili.kwanza jiulize ukiona hyo sms
Je aliyekutumia unamfahamu
Je kama hakufahamu namba yako alipata wapi
Na je kama humfahamu amekutumia hyo sms kwa maana gani?.
Kuna watu wanataka kunufaika kupitia shida zetu tuwe makini na tusikurupukeee.
Nawatakia jioni njemaaa
me mwenyewe jana nimetumiw sms hiyo ila nkampotezea
Njoo mtwara mjini nije mwanza jiji, sengerema, chato, geita. idara ya secondari. namba yangu n 0652620272