WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

:llama:Njoo MBEYA-MBOZI aje ILEMELA/NYAMAGANA au MORO(Manispaa).Idara-Sekondari.
0767 969292 :welcome:
 
Niko meatu idara ya secondari ( mwandoya sec) anayetaka tubadilishane maeneo ( misungwi,sengerema, geita, shinyanga mjini, singida mjini, dodoma, kahama, nzega)
 

Ebwana ni kweli hayo majamaa yalinikosakosa kwa mtindo huo nikaunganishwa na watu kama 5 hiv ili kuniaminisha lakin nashukuru walichumka baada ya kutonywa kuwa hao ni matepeleli.
Jamani hakuna uhamisho wa dharura wa wiki 1,2,3 hata mwezi huo haupo.
Ila kuna uhamisho wa des na juni.
Tuwe makin kuweka namba ya sim ni hatar sana
Unaweza kutapeliwa kwa namna nyingine maana wanakuja kwa stili nyingi.
SHUKRANI KWA WOTE WANAOWAKUMBUSHA WALIMU WENZETU JUU YA UTAPELI NA MATAPELI.
 
Hata mie alintumia eti ana mwez yupo Tumbi.Du! Kuna ma tpeli humu.Kama Tanga ntarudi Mungu akipenda.
 
Idara ya Sekondari njoo Kasulu nije Mtwara, Lindi, Kilimanjaro, Arusha, Tanga, Pwani, Morogoro na Mwanza..! Ni pm tufanye yetu
 
mimi niko dodoma chamwino nataka kuhamia morogoro au mbeya mawasiliano yawe PM.
 
Hii ndo msg niliyotumiwa "

habari,vp umefanikiwa kuhama au bdo?mie nimehamia kibaha tumbi sec nililipoti wakanpa wk 2 z kupumzka j3 nimeanza job rasmi ij tunafunga karb makaz mapya"
 
Nipo Kagera,yeyote wa kilosa,kilombero,mvomero,Rufiji,korogwe na Handeni tubadilishane!
 
Kwa mwl aliyeko mkoani mwanza wilaya yeyote idara ya msingi kutana mwenzako aliyeko karatu mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi wasiliana kupitia namba 0753738325/0754039566
 
Anaetaka kuja Uvinza Idara ya msingi anicheki! Fanyeni jamani mje nyumbani! Fanya kuni pm
 
Nipo magu mwanza idara ya msingi, kama upo kibaha, mkuranga, bagamoyo au morogoro 0682 279435
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…