Wwe wa kilwa lindi unayetaka kwenda katavi.... tumtafute yule wa katavi anayetaka kuja Mbogwe geita ili mimi wa mbogwe geita nije kilwa lindi... nadhani inawezekana call 0788425098 au 0756952109
Kuna Mwenzangu Yupo Hapa Tabora Wilaya Ya Uyui Anahitaji Kwenda Mtwara Idara Ya Mcngi Cal: 0683626963, Ukimkosa Npigie Mm Kwa 0753705024 Ntakuunganisha Naye Ila Mm Nahtaj Kwenda Mbeya,irnga,moro Kama Yupo Ancal.
Mwl wa Shule ya Sekondari Nyakato iliyopo bukoba natafuta mwl wa kubadlishana vituo vya kazi,yeye aje Bukoba mimi niende Arusha(Arusha jiji,Arumeru,Arusha Dc) AU Mwanza(Nyamagana,Ilemella & Misungwi)