WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi nipo idara ya msingi na mawasiliano yangu ni haya hapa 0787929878 AU 0762206989

NDG, mIMI NIPO Mbogwe Geita, nataka kuja Moro, Pwani au dar... niambie wewe wataka kuja mbogwe ? lengo ni kubadilishana
 
Jamani wala wanaotaka kuhamia KUSINI tubadilishane na mtu yeyote kutoka KILIMANJARO,ARUSHA,MANYARA AU TANGA tuasiliane kwa no 0789585414

Ndg... njoo Geita Mbogwe mimi nije huko kusini kama upo Kilwa 0788425098 au 0756952109
 
Msaada tafadhali wana jamii wenzangu. Idara ya sec. anayeweza kunisaidia jinsi ya kuandika barua kwenda tamisemi ddm na pamoja na box la tamisemi. Kuna mtu wa tamisemi amenambia niandke nimplekee.

Uwe makini usije ukatapeliwa wewe... huo utaratibu haupo....
 
Wewe mwalimu unayetaka kuhama toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa hilo suala linawezekana pasipo kupata mtu wa kubadilishana ila uwe na kiti cha kuongelea nakufanyia michakato na utapata barua ya moja kwa moja toka TAMISEMI ikikuruhusu kuhamia kule unakokutaka ila kwa kujigharamia kuhama.Kama uko tayari coment hapa ''ni PM'' na mimi nitaku PM.Asiyeniamini aache anayeniamini haina shida.
wewe ni tapeli uamisho wa namna hiyo haupo
 
nafanyia kazi wenye uelewa tu maana walimu wengi ni mazezeta hawajitambui,na hii ndo kada ya wajinga kuliko kada zote nchini.

Wewe acha ujinga mjinga ni wewe tulie kutoa ujinga kipindi ulipokuwa mjinga
Tishakustukia wewe ni tapeli.
 
Wewe acha ujinga mjinga ni wewe tulie kutoa ujinga kipindi ulipokuwa mjinga
Tishakustukia wewe ni tapeli.

mimi sio tapeli ila wajanja wamenielewa ngoja nipige nao mishe hawa wachache wenye uelewa ktk kundi kubwa la wajinga
 
Habari ya uzima.
Mimi nipo Tunduru mjini,idara sekondari,shule inaitwa mgomba sekondari.Tafadhali kwa aliyetayari nomba tubadlishane mie nije MUFINDI. Kama upo tyr nicheki kupitia 0712913007.
 
Jaman Mie nipo Tunduru mjini na nnataka nije MUFINDI- iringa.Nipo ktk shule inaitwa Mgomba sekondari.Tafdhali tuwasiliane 0712913007
 
Kuna mwl wa S/M wa kilwa,,anatafuta wa kubadilishana nae toka wilaya ya Masasi..Aliyetayari anipe taarifa

Wewe wa kilwa unayetaka kuja masasi.. mimi nipo bukombe geita, kuna mtu wa masasi anataka kuja bukombe hvo nataka tufanye hivi.... yeye aje bukombe, mii nije kilwa then wewe uende masasi au vp?... kama fresh nichek kwa 0788425098 au 0756952109
 
Habari zenu wadau. Anayetaka kuja Kilindi ( s/m ) kutokea tanga mjini au mkinga, tuwasiliane.
 
Anayetaka kubadilishana vituo vya Kazi, aje Kilindi mm nije halmashauri ya mkinga au muheza au tanga jiji.
 
Mimi mwalim Mbunda Beatus wa sekondari ya nyamirembe iliyopo mkoani geita wilayani chato natafuta mwalimu wa kubadlishana nae kwa mkoa wa morogoro mjini
hapo. Kwa mawasiliano zaidi...

0762-336555
0789-336555
0715-936555
 
Back
Top Bottom