WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo Mwanga Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji ani PM.
 
kubadilishana kituo cha kazi mi nimepangiwa GEITA-GEITA nahitaji mtu aliyepangiwa SIMIYU BARIADI MJI aliye tayari tuwasiliane ni mwl. ngazi ya shahada

Ukipata wa kuja kanda ya pwani ie Mkuranga, kisarawe, kibaha na hata kilwa au dar nijulishe ndg. mimi nipo Geita anitafute tubadilishane
 
Me natafuta wa kuja kigoma kasulu mjini mimi naenda kokote nje ya mkoa wa kigoma contact 0759167916
 
offer offer offer
kwa mwl yeyote wa elimu ya msingi kutoka pwani (mkuranga, kisarawe,kibaha), kilwa, morogoro manispaa na hata dar kama upo tayari kuhamia geita (bukombe/mbogwe), nicheki kwa 0788425098 au 0756952109 au ni pm tuwasiliane ili tufanye taratibu haraka
 
tulia ww... pm kama 50000...

Hzo PM 50000 Utazila?... naona unazishobokea kweli... kumbe kwenu mikindani tu unazuga unatoka da?... duh watu mnapenda maujiko kweli... teh teh teh....

Hvi umeacha kufundisha chekechea?
 
Njoo MBULU-MANYARA nije Tanga, Kilimanjaro, Morogoro vijijini, Arusha vijijini, Arumeru kama upo tayar 0685674988
 
mimi ni mwalimu nipo kilwa mkoa wa lindi natafuta wa kubadilishana nae wilaya yoyote ya mkoa wa tanga au kirimanjaro na arusha pia lengo kurudi karibu na nyumbani kama upo tayari nipigie kwa namba zifuata 0787421008
 
Back
Top Bottom