dachimaster
New Member
- Feb 6, 2013
- 3
- 0
njoo KAHAMA MJI nije DODOMA MANISPAA, sekondari
Haya sasa wale Walimu mliotayari kuja kanda ya Ziwa yaani mkoani Geita wilayani Mbogwe(Bukombe) nahitaji kuja kupigwa baridi mkoani Ruvuma(Songea, Mbinga na Namtumbo), Iringa(Iringa, Kilolo na Mufindi) na Njombe(Njombe, Makambako na Wanging'ombe) idara ya msingi kwa mawasiliano 0763053058. Karibuni sana.
Aslm aleikhm jamiyah annas!
Bismillah arahman rahim
mm mwl.id'ara elmu msingi nipo Iguguno mjini,H/w Mkalama Singida.
Aliye Lushoto,korogwe,Handen au Tanga.Tubadilishane.piga au text m 0684 71 18 18 au
0652 22 78 22. INSHALLAH!
njoo dar..
Bukoba,naweza pata
njoo dar..
Mimi nipo dar temeke nataka mtu wa kutoka singida mjini
We mshenz!!!Tangia lini uko Dar!!"ulishatoka mtwara???Njoo Chugaa jiji nije mtwara