WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

nko muleba-kagera idara seko naomba yyte aliyeko moro,iringa,mbeya,dodoma na sumbawanga tubadilishane kituo cha kazi phon no 0755049854
 
Njoo Iguguno -Mkalama n karb na Manispaa ya SINGIDA huduma zote zipo anaepajua.Nije Tanga Lushoto au Korogwe.Idara elimu msingi changamka nafasi ndiyo hii.
 
Natafuta mwl idara ya sekondari wakubadilisha nae. mimi niende wilaya ya songea manispaa yeye aje wilaya ya mbinga .
 
Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kunadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Dar es salaam au Kibaha. Kwa mwenye uhitaji ani PM
 
kuondoka mjini nipo tayari kwa wale wa Tanga njoo Iguguno-Mkalama Singida nije Lushoto,korogwe,Handen mjini tu.BP AU PIGA 0684711818 AU 0652227822 idara msingi.
 
Njoo halmshauri ya mji tarime kwa ambae yupo arusha jiji, tanga jiji, babati, korogwe mjini, lushoto. 0783223216
 
Kama upo chamwino dodoma, dodoma mjini, tubadilishane njoo tarime mjin 0766765231
 
Mwalimu idara ya sekondari yko mkoa wa Kilimanjaro wilaya hai,(Maili sita) shule iko barabaran kbsa kma mita 200 kutoka barabara ya Arusha-Moshi.Anatafuta wa kubadilishana nae kutoka Tanga jiji.Ni pm for Contacts!
 
Back
Top Bottom