WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Jama hamnion? Njoo Iguguno-
H/w mkalama Singida nije Lushoto,Pangani,Handeni,Muheza au Korogwe TANGA.idara msingi piga au bp 0684711818 au 06522 78 22 asante!
 
naomba ukipata mwalimu wa sekondari anayetaka kuja singida manispaa kutokea hapo dodoma unijuze kaka
 
Mtwara anaetaka idara msingi mm niende MBEYA Iringa Morogoro Njombe Rukwa wilaya yoyote 0689976850 0768948179
 
Nenda CHATO MJINI_GEITA mdogo wangu aje DODOMA MANISPAA (sec): 0764264315.
 
Haya sasa; nenda CHATO MJIN_GEITA mdogo wangu aje DODOMA MANISPAA (sec). 0764264315.
 
Mimi natafuta wa kutoka Singida Manispaa aje wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma idara ya sekondar
 
mimi nipo DODOMA MANISPAA (mjini) idara ya sekondari naomba kama upo tayari tubadilishane nije MOSHI MANISPAA 0717690221, 0758121353, 0684533627
 
Hayahaya Tena Wa Leoleo Kwa Mara Nyngne Tena, Pata Uhamisho Chapchap, Npo Tabora Idara Ya Msingi Nataka Kurudi Mikoa Ya Kusini Au Pwan Hata K/njaro Au Dodoma,moro Ntakuja Tyuu Cal Me 0753705024,
 
kwa anaetaka kuja singida-Iramba(shelui) idara msingi.
Kutoka mikoa ya popote pwani,dar-es salam.
Tuwasiliane 0717325621. pia kama unamfahamu anetakuja huku pia nijuze
 
Kwa mwl wa sekondari anayetaka kuhamia rukwa(kalambo) kaka yngu arudi mbeya tutafutane
 
Nipo s/m kata Iguguno mji mdogo H/w Mkalama-SINGIDA.
Wale kutoka lushoto,Handen,pangani,korogwe,Tanga.Kwenda Bariadi,Shinyanga,Tabora,Kahama,Mwanza,Geita,Simiyu,Bukoba,kigoma njoo SINGIDA usogee n karbu na mikoa hiyo.pga au bp 0684711818 au 0652227822
 
Back
Top Bottom