WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

NJOO SINGIDA IGUGUNO MJI MDOGO,IDARA ELIMU MSINGI NIJE LUSHOTO,PANGANI,HANDENI,TANGA.MWANGA KLM.KIBAHA,PWANI. pga au bp 0684711818.
 
Nipo idara ya msingi wilaya ya handen natafuta wakubadilishana nae wilaya yoyote mkoa wa kilimanjaro
 
njoo njombe town idara ya sekondary me nije singida manispaa idara ya sekondary
 
njoo singida Iramba(shelui) idara msingi mimi nije popote mkoa wa pwani ua Dar-es-Salam
Kama uko tayari ni PM tuanze Michakato.
 
Idara Sekondari nipo KILIMANJARO-MWANGA natafuta wa kubadlshana nije MOROGORO ni PM au 0769128154,,, 0686989470
 
Ndg zangu wanaJf,
Naomba msaada juu ya mada tajwa hapo juu...kwani nimejaribu kumsaidia kadri ya uwezo wangu nimeshindwa hivyo nahitaji msaada wenu.Zawadi ipo
 
Kama unaweza njoo pm,
Tuweke mambo sawa...uwe na uhakika na jambo hili
 
niko bukoba natafuta mwl wa kubadilishana vituo vya kazi yeye aje Bukoba mimi niende wilaya ya misungwi,nyamagana & ilemela( mwanza) au meru & arusha jiji,arusha dc (arusha)
 
Back
Top Bottom