WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo Kilindi nafuta wakubadilishana nae kutoka Bagamoyo au Dar es salaam,idara ya sekondari
 
kuna mwl yupo kilwa kivinje msingi ana tafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka geita mwanza kwa aliyeko tayari anipm
Kivinje shule ipi?, ile ya karibu na hospitali au kivinje s/m iliyo ufukweni kabisa?... tafadhali njoo Geita mimi nije kilwa, ni-PM fasta kwa no. zako then tutafutane muda unaenda
 
njoo kilwa kivinje usogee imepakana na pwan
kama itawezekana

Mimi nipo tayari kuja kivinje, natokea GEITA, wewe upo kivinje ipi?, ile shule ya ufukweni kabisa au ile ya karibu na hospitali ya kivije?... kama vipi nipe conact zako via PM ili tuwasiliane
 
Njoo NEWALA-MTWARA idara ya sekondari,mimi nirudi nyumbani TANGA ktk wilaya za Tanga jiji,Muheza,Lushoto,Korogwe,Bumbuli AU Mkinga.KAMA UPO TAYARI Tuwasiliane 0783677207,0767665619 AU 0717765619.
 
Njoo wilaya ya NEWALA-MTWARA idara ya sekondari mimi nije Tanga wilaya ya Tanga jiji,Muheza,Lushoto,Korogwe,Bumbuli au Mkinga. KAMA UPO TAYARI TUWASILIANE KWA NAMBA 0783677207,0767665619 AU 0717765619.
 
nipo busokelo mbeya nataka wa kubadilishana nije iringa mjn au njombe kwa aliyetayar an pm
 
Mimi nipo wilaya ya Kilindi(Tanga),natafuta wakubadilishananae kutoka wilaya ya Bagamoyo au wilaya yoyote ya mkoa wa Dsm.Idara sekondari
 
Mimi nipo Kilindi,ni mwalimu Sekondari,nafuta wa kubadilishananae kutoka Bagamoyo au Dsm
 
kweli kuna mikoa inapendwa na walimu wenzangu, ukipitia humu...utagundua

1. MOROGORO
2. DAR (TEMEKE, KINO NA ILALA)
3. PWANI
4. MKURANGA

Duuuh na pwan mkuranga ni sababu ipokaribu na dar ila nyinyi nahis wengi mkuranga hamuijui....kuna chemba izo hazina hata umeme, dont think of mkuranga ya St mathew hapa.

pwani...wengi wanahis pwani ni ruvu, kibaha, picha ya ndege, kongowe na kando ya barabara ya moro dar. ni mtazamo tu kazi iendeleee

Teh teh teh....., wewe ni researcher mzuri... ni kweli kabisaa... Hyo Pwani au mkuranga unaweza kupangiwa sehemu ambayo hadi njia ya miguu imeanza kufutika...
 
Nipo NEWALA mtwara idara msingi aliyeko Morogoro Iringa Njombe Mbeya Rukwa tuwasiliane
0768948179 0689976850
 
Nilifanikiwa kuhama kwa matangazo ya hili jukwaa.... Asanteni sana Jf

Kuna Rafiki zangu
1.yupo Makete >>Mbinga
2.Yupo Bunda>>>Songea
3.Yupo Tarime >>>Mwanza
4.Yupo Bunda >>>Pwani
Mawasiliano
0767412276 kwa Aliye Tayari Tuanzi michakato!!
Nb

Wote Elimu secondary
 
Back
Top Bottom