WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl wa shule ya msingi wilaya Mkuranga natafuta mtu kubadilishana kutoka mkoa Arusha Wilaya Monduli,Karatu,Arusha DC au Jiji kwa aliyeko tayari ani PM.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Njoo Geita ndg, nije hapo mkuranga... kama upo tayari ni PM FASTA


Nita ku-PM ili tuongee vzr nadhani kutakuwa na mutual benefits hapo. coz kuna mtu anatoka karatu kuja geita, wewe uje karatu then mimi nije mkuranga
 
nipo bukoba vijijini natafuta mwalimu wa kutoka morogoro vijijini, morogoro mjini, kyela au dodoma mjini 0652747823
 
Niko SIMIYU wilaya ya BARIADI IDARA ya msingi,uko tanga,arusha au dar wilaya yoyote tubadilishane? 0757279199
 
Niwie radhi nime'edit lakini.
Yupo Halmashauri gani huko Mwanza, na anahitaji kubadilishana na mtu kutoka Halmashauri gani kwa Morogoro?

Mawasiliano katika mchakato huo yatafanyika kwa njia gani?

Mwalimu wa Sekondari Anaehitaji kuja Mwanza kubadilishana na Morogoro.
 
Njoo wilaya ya Newala-Mtwara idara ya sekondari mimi nirudi nyumbani Tanga.katika wilaya za tanga jiji,lushoto,muheza ,korogwe,bumbuli au mkinga.kwa mawasiliano piga simu 0783677207,0767665619
 
Mimi ni mwl wa shule ya msingi nahitaji mwalimu wa kubadilishana naye aje Geita-Bukombe mimi nije Pwani wilaya yeyote (msisitizo Mkuranga, Kibaha au Kisarawe). If you are interested please reply via PM
 
Mimi nipo Geita, kama kuna unayemfahamu wa mkoa wa pwani wilaya yeyote elimu ya msingi ni PM fasta
 
wewe wa geita kuna mtu yuko kisarawe anataka aje geita idara sekondari. kama uko tayari ni pm 0768074472
Kisarawe mimi nipo tayari kuja tatizo mimi ni elimu ya msingi na huyo ni elimu ya sec... jaribu kunipatia wa elimu ya msingi wa kisarawe, mkuranga au hata kibaha mie nipo tayari kuja hapo.
 
NATAFUTA MWALIM WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI, AWE NI KUTOKA TANGA, WILAYA ZIFUATAZO; MUHEZA, TANGA MJIN/VJJN, PANGANI NA LUSHOTO. YEYE AJE GEITA BUKOMBE.

kwa aliyetayari tuwasiliane kupitia PM.

Ndg, Tafadhali ukipata wa kuja huku Geita-Mbogwe akitokea Pwani wilaya yeyote nipe taarifa kwa 0756952109 au ani-PM
 
Back
Top Bottom