WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

SAMAHANI WADAU
Naitwa MASOUD KAPITA
Kwa walim wa AJIRA MPYA na WA ZAMANI
ngazi
ya STASHAHADA natafuta MWALIMU wa
kubadilishana nae kituo Mimi nimepangiwa
Halmashauri ya Wilaya ya BUHIGWE-Mkoa wa
KIGOMA natafuta wa
kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka
Halmashauri yoyote iliyopo Mkoa wa TABORA,
KATAVI, GEITA, DODOMA na SINGIDA
Kwa mawasiliano piga Piga 0766786513

Dogo inaelekea umepigika kisawasawa. hata Katavi na Singida unazitaka ? vipi huko Buhigwe kuna wanga sana ? Au umechoka kula samaki ?
 
Jamani muda unayoyoma,wakuja Kagera mimi nije Rufiji,Kilosa,Mvomero,Turiani,Kilombero,Handeni,Korogwe,simu 0652 594252,Idara ya Sekondari.
 
Mwl nipo Mtwara idara msingi natafuta mwl wa kubadirishana kutoka MBEYA,IRINGA,MOROGORO,NJOMBE
0768948179
0689976850
 
Mwalimu nipo Singida mjini idara ya sec nataka kuhamia Dodoma mjini Kwa aliye tayari kuna fedha taslimu 0763257500
 
Elimu secondary njoo morogoro manispaa nije temeke,ilala,au kinondoni
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

Naitwa Kayuni nataka kubadilishana na mwalimu aliyeko Mbeya jiji aje Mwanza jiji(Ilemela).tuwasiliane kupitia namba 0786449744 au 0759046101 ,idara ya sekondari
 
Niko kiteto -Manyara!nahitaj kwenda kondoa,morogoro,iringa,mbeya,mwanza,kahama!nichek 0682924291
 
Mwl idara msingi YUPO KILINDI TANGA anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha MORO,IRINGA,NJOMBE,PWANI,KOROGWE,MUHEZA AU TANGA TOWN.
No.0712880969
 
Jameni kwa wale Wa Rukwa na maeneo jiran njoo halmashaur ya Kalambo nije halmashaur yoyote ya Tanga, Kilimanjaro ama Arusha. idara msingi. 0764142047 nicheck hapa
 
nitafutie mwalimu anayetoka pwani anataka kuja Geita..., ngoja nikutafutie mwl anayetaka kuja arusha toka k'njaro
 
Njoo Geita,, nije Pwani wilaya yeyote... i.e Mkuranga, Kibaha, Kisarawe etc.... aliye na uhitaji ani PM fasta.
 
Back
Top Bottom