WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo Kagera,nije wilaya zifuatazo: Rufiji,Kilombero,Kilosa,Mvomero,Turiani,Morogoro vijijini,Handeni na Korogwe,Idara sekondari.
 
IDARA YA SEKONDARI
Njoo Busega Mjini[jirani Na Mwanza] Nije Pwani-mkuranga,kisarawe Au Wilaya Yoyote Dsm.Mawasiliano 0715007615
 
Nipo rungwe tukuyu mbeya mwalimu idara ya secondary nataka mtu kubadilishana naye awe anatoka wilaya ya mbozi mbeya tuwasiliane kwa namba 0768117713
 
Njoo Ngorongoro Arusha Mimi Nije Mbeya Mjini, Mby Vijijini, Mbozi Na Kyela. Idara Ya Sec Aliye Tayari Ani Pm.
 
njoo wilaya ya nkasi mkoani rukwa pembeni kidogo na mji wa sumbawanga..nije mbeya iwe manispaa au vijijini..idara sekondari...
 
jsman nimepigiwa simu na tapel moja anasema yuko ofis ya rais utumishi kisha akanimbia katika harakati za kupekua makablasha akakutana na jina langu akajua nitakuwa mhee mwenzake akaona ni vyema anipigie ili anisadie kama ningehitaji kuhama hivyo akanishauri nimtumie cheki namba ili anitengenezee uhamisho wa kulipwa ambapo ningelipwa mil 4 pia akanishaur niende mafinga mwisho akaniambie nismwambie mtu lakn nimeona niwashirkishe na wenzangu. jama tuwe makin kwan kuna watu hawana uoga na mungu

Mtu hakujui huo wema kautoa wapi,ana ndugu zake wangapi wanataka kuhama hajawasaidia akusaidie wewe.Aisee watu waongo matapeli hawafai na tunavoelimishana humu watakuwa wanachukia sana
 
Natafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi niko mafia nataka kurudi bara ni pm

ningependa nibadilishane na mwl kutoka maeneo ya Chalinze ,moro na mkoa wa Lindi.

mwl wa sekondari.
 
Natafuta wa kubadilishana nae kituo
cha kazi niko mafia nataka kurudi bara
ni pm
ningependa nibadilishane na mwl
kutoka maeneo ya Chalinze ,moro na
mkoa wa Lindi.
mwl wa sekondari.
 
Natafuta wa kubadilishana nae kituo
cha kazi niko mafia nataka kurudi bara
ni pm
ningependa nibadilishane na mwl
kutoka maeneo ya Chalinze ,moro na
mkoa wa Lindi.
mwl wa sekondari.
 
Back
Top Bottom