WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Kwa mwl aliyeko mwanza wilaya yeyote idara ya msingi kutana na mwenzako aliyeko karatu mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi wasiliana kupitia namba 0753738325 /0754039566
 
Kwa mwl aliyeko kibaha na bagamoyo mkoani pwani idara ya msingi kutana mwenzako aliyeko karatu mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi wasiliana kupitia namba 0764114016
 
Njoo Rukwa Kalambo nije Tanga Morogoro Kilimanjaro ama Arusha elimu msingi..... tumia 0764142047 kwa mawasiliano
 
Niko Singida Vggn (halmashauri),sec. natafuta mwl. Wa kubadilishana Naye kutoka wilaya zifuatazo;
1. Magu.
2 .Tarime
3.Nyamagana.
4.Ilemela.
5.Busega.

Contact; 0757966585.
Muda unayoyoma.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
mimi nipo njombe-ludewa nahitaji mtu wa kubadilishana awe Arusha,manyara,kilimanjaro au Tanga.
kama uko tayar wasiliana nami kwa no 0755724612 (idara ya sekondari)
 
Anajiita mwl. wa shule ya msingi.
H/w mkalama-Singida anatafuta mwl.mwenzie wakubadilishana nae vituo vya kazi kutoka muheza,korogwe,pangani,Lushoto-Tanga.mcheck pm.
 
NJOO KIGOMA MANISPAA NIJE SENGEREMA NYAMAGANA,ILEMELA AU MISUNGWI.IDARA NI SEKONDARI 0714713147 au0788896945
 
Wakuja Kagera idara sekondari mimi nije Rufiji,Mvomero,Kilosa,Kilombero,Handeni,Korogwe.Muda unayoyoma jamani!.
 
Njoo Manyara Babati aje Pwani au Morogoro pia-idara ya Elimu ya msingi na piga 0712336687 na 0759063942
 
NJOO NEWALA-MTWARA idara ya sekondari mimi nirudi nyumbani(TANGA) Kati ya wilaya ya Tanga jiji,MUHEZA,LUSHOTO,KOROGWE au BUMBULI kwa mawasiliano zaidi nitafute ktk namba 0783677207,0767665619 NA 0717765619
 
Mm ni mwlimu s/msingi nataka mwl wa kubadilishana aje tabora sikonge mm niende songea(ruvuma)
 
Njoo singida wilaya ya iramba idara ya secondary mimi nije arusha wilaya yoyote. Matapeli msinitafte kwani humu kuna watu matapeli so walimu muwe makini wanapopiga simu na kudai wanaweza kukusaidia kuhama ila uwe na mkono mwepesi au maji.
 
Nmewalaani matepeli wote waliotapeli walimu katika jina la YESU na cku zao zmehesabika. walimu kuwen macho
 
Njoo Rungwe/Tukuyu Mbeya nije Tanga mjini, Lushoto, Korogwe,Muheza,DSM, Kibaha, Bagamoyo. Idara ya msingi.
0712016405
 
Back
Top Bottom