WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo NEWALA-MTWARA(IDARA YA SEKONDARI) mimi nirudi Tanga wilaya ya Muheza,korogwe,lushoto,Bumbuli au Tanga jiji.KWA MAWASILIANO NITAFUTE KATIKA NAMBA 0783677207,0767665619 NA 0717765619
 
Njoo kigoma mjini mimi nije mbeya,iringa,njombe,morogoro na songea mjini idara ya secondary 0759823687
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.0684122208.
 
Njoo MTWARA-MJINI nije mwanza ilemela, nyamagana, sengerema, chato au geita. Idara ya secondari. Ma number 0652620272
 
Kwa niaba:-
Njoo Ushetu -Kahama nije H/w mkalama Singida.Idara elimu msingi.Nicheck pm.
 
Elimu secondary njoo morogoro manispaa ninje temeke,au kinondoni au ilala
 
Njoo MTWARA-MJINI nije mwanza ilemela, nyamagana, sengerema, chato au geita. Idara ya secondari. Ma number 0652620272

chato na Muleba ni karibu njoo Muleba nije ulipo,badae utapata urahisi wa kwenda utakapo katika maeneo uliyotaja kama vipi tuwasiliane.
 
Njoo Newala-Mtwara idara ya sekondari mimi nirudi nyumbani Tanga jiji,Muheza,Korogwe,Lushoto au Bumbuli.KWA MAWASILIANO ZAIDI NITAFUTE KTK NAMBA 0783677207,0767665619 au 0717765619
 
Elimu sekondary,njoo sumbawanga nije mbeya mjni,,mbeya vijjni,rungwe,kyela ,ambae yuko interested an pm
 
Anaitwa mwalimu gad shiwa yupo misungwi mwanza anatafuta mtu wakubadilishana nae kutoka dodoma au iringa namba zake 0763473706
 
Back
Top Bottom