WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

0756231236 Hii namaba siiamini hii... wewe sio tapeli kweli wewe?... unaonekana kila mahali upo...
 
Mwalimu kutoka Kilimanjaro wilaya za Sia, Hai na Moshi Mjini au Arusha wilaya za Arumeru na Arusha Manispaa, okoa jahazi lisizame karibu Handeni tanga.kama upo tayari PM
 
Rafiki yangu yupo ITIMILA ~SIMIYU anatafuta wakubadilishana nae mkoa wa TANGA. Idara ni elimu msingi
 
hivi ndivyo nchi ilivyo oza kwa rushwa halafu tunasema uongozi mzuri? Rushwa zinatangazwa mtandaoni kama basi linalopigiwa debe abiria wapande

we endelea kusubiri haki yako ipo siku itakukuta yenyewe
 
Wewe mwalimu unayetaka kuhama toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa hilo suala linawezekana pasipo kupata mtu wa kubadilishana ila uwe na kiti cha kuongelea nakufanyia michakato na utapata barua ya moja kwa moja toka TAMISEMI ikikuruhusu kuhamia kule unakokutaka ila kwa kujigharamia kuhama.Kama uko tayari coment hapa ''ni PM'' na mimi nitaku PM.Asiyeniamini aache anayeniamini haina shida.
 
Ushauri wako ni mzuri sana ndg... tena kwa kuwa watu wanaotafuta kuhama wapo katika hali ya kuwa na shauku sana huwa tunajisahau kama kuna kutapeliwa hvo tunaingizwa mkenge kirahisi... Jamani tuweni na umakini, subira na kufanya taratibu hizi kwa tahadhari ya hali ya juu... kuna watu hawaiogopi laana ndio maana wapo tayari kunufaika kupitia matatizo au mahitaji ya wengine... KILA LA HERI WALIMU
Habari zenu walimu
Ninamatumaini ni wazima na mnaendelea vizuri kabisa na shughuli zenu za kazi popote mlipo.nawatakia kazi njema nashughuli njema.
Kuna jambo nataka kuwashauri,mwanzoni kabisa wa hii page kuna maelezo ya kina na mwandishi ametadharisha kuhusiana na kutoa namba na akasema ukiweka namba itakuwa at your own risk,nilimwelewa lakin tafsiri yangu ilikuwa tofauti ila kwa ss nimemuelewa zaidi na nataka kuwashauri kwani mm nimestuka mapema .inawezekana wenzangu bado.
Kuna watu wanachukua namba hapo kisha anakutumia sms.
Mfano:
"Habari yako mzima mm nilifanikiwa kuhama na kwa ss nipo tumbi.asanthe".
Hiyo sms ni ya mtego,akijua kabisa utamtafuta kumuuliza alifanikiwa vipi kuhama.na nikweli ndivyo inavyokuwa,ukishampigia atakupa maelezo na kukwambia kuwa kuna mtu alimsaidia.na kwa kumuamini utamwambia mwambie jamaa nae akusaidie.kumbe ndo unaliea bila kujua.
Huu ni mtandao,atakupa namba ya mtu mwingine na mtaanza kufanya mchakato atakuambia kuna gharama kiasi fulani.na kwa kuwa yule mtu wa kwanza alikuhakikishia bhasi utajikuta umetuma pesa na matokeo yake utakuwa umetapeliwaaa.
Kuweni makini na hili.kwanza jiulize ukiona hyo sms
Je aliyekutumia unamfahamu
Je kama hakufahamu namba yako alipata wapi
Na je kama humfahamu amekutumia hyo sms kwa maana gani?.
Kuna watu wanataka kunufaika kupitia shida zetu tuwe makini na tusikurupukeee.
Nawatakia jioni njemaaa
 
wewe mwalimu unayetaka kuhama toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa hilo suala linawezekana pasipo kupata mtu wa kubadilishana ila uwe na kiti cha kuongelea nakufanyia michakato na utapata barua ya moja kwa moja toka tamisemi ikikuruhusu kuhamia kule unakokutaka ila kwa kujigharamia kuhama.kama uko tayari coment hapa ''ni pm'' na mimi nitaku pm.asiyeniamini aache anayeniamini haina shida.
acha uongo wewe....
Mbona ndg yako hadi leo hajahama kama huo mchakato unauweza?
 
elimu______secondary/ njoo ikwiriri rufiji/pwania karibu sana na dar es salaam nauli elfu tano/nne kama upo kahama mji/ shinyanga manispaa tufanye kubadilishana....0757632037.

nitafutie wa geita karibu na kahama, elimu ya msingi fasta nije hapo rufiji ikwiriri
 
Mimi ni mwl. Idara ya sekondari nipo wilaya ya TUNDURU-RUVUMA nataka kwenda IRINGA MANISPAA AU IRINGA (V) aliyetayari tuwasiliane
 
wewe mwalimu unayetaka kuhama toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa hilo suala linawezekana pasipo kupata mtu wa kubadilishana ila uwe na kiti cha kuongelea nakufanyia michakato na utapata barua ya moja kwa moja toka tamisemi ikikuruhusu kuhamia kule unakokutaka ila kwa kujigharamia kuhama.kama uko tayari coment hapa ''ni pm'' na mimi nitaku pm.asiyeniamini aache anayeniamini haina shida.

kuwen makini na huyu msokota bangi sio mtu mzur
 
Tunaendelea kuwatahadharisha ndugu zetu mnao weka namba kwa nia njema tu, kuwa wapo maharamia (matapeli) wanao taka kutumia shida yako kujinufaisha.
Ushahidi: niliwahi soma comment hapa jf kuwa yupo jamaa namba yake inaishia 35 anakupigia simu anajifanya yupo tamisemi, kiukweli binafsi alinipigia simu nilimpa makavu alichokifanya alizima simu.
 
acha kuziba riziki za watu
 
Back
Top Bottom