WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mdogo wangu (Mwl) anafundisha Karagwe Bukoba
anataka kubadilisha na Mwl. yeyote toka mikoa ya Iringa, Mbeya, Dodoma au Morogoro
 
njoo songea manispaa nije morogoro,dodoma,pwani au dar 0772 598 444 or 0787 419 289 call/sms/whatssapp
 
Njoo tanga korogwe mombo nije mbeya tukuyu,kyela idara sekondari 0717500519
 
namba hizo kuwen makn nazo coz kunawez now dayz
 
Mwalimu Jane wa halmashauli ya Ilemela-Mwanza anatafuta mtu wa kubadilishana nae toka wilaya ya Kasulu kumfuata mmewe idara ya -msingi
 
Mwalimu Jane wa halimashauri ya Ilemera-Mwanza anatafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi na mwalim yeyote wa halmashauri ya Kasulu-Kigoma(idara ya msingi) ili amfuate mmewe
 
Niko maswa, simiyu natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi tokea mkoani geita idara ya msingi. Aliye tayari 0756832821
 
Nipo halmashaur ya wilaya ya BAGAMOYO, nahitaji kubadilisha kituo cha kazi kutoka hapa nilipo kuja DSM wilaya yoyote, idara SEKONDARI.
 
Nipo Kilindi nahitaji wa kubadilishana nae anayetoka Bagamoyo au Dsm.Idara sekondari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…