WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Wewe mwalimu unayetaka kuhama toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa hilo suala linawezekana pasipo kupata mtu wa kubadilishana ila uwe na kiti cha kuongelea nakufanyia michakato na utapata barua ya moja kwa moja toka TAMISEMI ikikuruhusu kuhamia kule unakokutaka ila kwa kujigharamia kuhama.Kama uko tayari coment hapa ''ni PM'' na mimi nitaku PM.Asiyeniamini aache anayeniamini haina shida.

poa nimekuelewa unapatikana wap?
 
njoo halmashauri ya mbeya zaman mbeya (v) nije dodoma manicipal au manyoni idara sec kwa aliye tayar nicheki kwa 0652 858586
 
njoo halmashauri ya mbeya zaman mbeya (v) nije dodoma manicipal au manyon idara secondary kama upo tayari nicheki kwa 0652858586, 0764118282
 
Kuna mwl. anahitaji wa kubadilishana nae yeye yupo Buhigwe-kigoma na anahtaji kuja mkoa wa Ruvuma kwenye almashaur yoyote.
Ni PM kwa mawasiliano zaid.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

Salamu mkuu, ebhana kuna kitu sikielewi humu ndani.. Iko hivi.. kila nikileta maada humu jukwaan hazikai kwa muda mrefu zilishapotea, na sio kwamba labda zinakuwa zipo kinyume na terms/conditions hapana. Ukiachana na hilo pia nakuwa nashangazwa na kitu kinachotokea kwenye topic zangu...yaani nakuwa nashangaa kukuta mtu katumia ID yangu na ka-edit title ya topic yangu na ndan kaweka content anayoijua mwenyewe, pia sielewi kwanin kila maada ninayotengeza inashushwa chini kias cha kupotea kwenye first page, ni kip kifanyike ili topic yangu pia ikae on top kama nyingine? Msaada tafadhali!
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

Mimi natafuta Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi, anayefundisha shule ya msingi sehemu yoyote ndani ya manispaa ya morogoro, Mimi nafundisha shule ya msingi hapa manispaa ya Kigoma.
Kama uko manispaa ya Morogoro na ungependa kuja manispaa ya kigoma naomba tuwasiliane
 
Back
Top Bottom