WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anetaka kuja Tukuyu/Rungwe Mbeya mi nije Tanga mjini, Lushoto, Muheza, Korogwe, Kibaha, Bagamoyo anicheki. Idara ya msingi.
0712016405
 
njoo kalambo -rukwa nije rungwe,Tukuyu,mbeya vijijini au mbeya mjini au busokelo , kibajackson gmail.com
idara sekondari.
 
Last edited by a moderator:
Elimu secondari natafuta mwl wa kubadilishana nae, aje manispaa ya Morogoro mie niende manispaa ya Temeke.
 
Mwl idara sec yupo SIMIYU-maswa anataka kuhamia kwenda PWANI,IRINGA,MANYARA NA MBEYA.
NO:0756724278
 
Njoo kalambo rukwa nije Tanga ama mikoa jirani na Tanga...... Tumia 0764142047 kwa mawasiliano..idara elimu msingi
 
Back
Top Bottom