aurelia tenka
Member
- Oct 7, 2014
- 6
- 0
elimu sekondari njoo chamwino dodoma mi nije mbeya,morogoro,iringa,rufiji ikwiriri,0684886998
njoo halmashauri ya mbeya zaman mbeya (v) nije dodoma manicipal au manyon idara secondary kama upo tayari nicheki kwa 0652858586, 0764118282
njoo halmashauri ya mbeya zaman mbeya (v) nije dodoma manicipal au manyoni idara sec kwa aliye tayar nicheki kwa 0652 858586
nenda korogwe mjini rafiki yangu aje chalinze (sekondari) ni pm
Mimi natafuta Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi, anayefundisha shule ya msingi sehemu yoyote ndani ya manispaa ya morogoro, Mimi nafundisha shule ya msingi hapa manispaa ya Kigoma.
Kama uko manispaa ya Morogoro na ungependa kuja manispaa ya kigoma naomba tuwasiliane