WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Idara ya secondary Njoo KILINDI nije KOROGWE
0688 990 975
 
Njoo dodoma mjini idara msingi, nije dar es salaam kati ya wilaya hizi (temeke, kinondoni, au ilala)
 
Njoo Njombe mjini, nije Iringa, idara ya secondary!0763517727
 
Njoo NEWALA-MTWARA idara ya sekondari mimi nije MKOA WA TANGA Halmashauri yeyote kati ya hizi zifuatazo: Tanga jiji,Muheza,Korogwe,Lushoto,Bumbuli,Handeni,Kilindi au Mkinga.KWA MAWASILIANO ZAIDI NITAFUTE KTK Namba 0783677207,0767665619 na 0717765619 Nawatakia kazi njema
 
Njoo NEWALA-MTWARA idara ya sekondari mimi nije MKOA WA TANGA Halmashauri yeyote kati ya hizi zifuatazo: Tanga jiji,Muheza,Korogwe,Lushoto,Bumbuli,Handeni,Kilindi au Mkinga.KWA MAWASILIANO ZAIDI NITAFUTE KTK Namba 0783677207,0767665619 na 0717765619 Nawatakia kazi njema[/QUOTE]
 
Anayetaka kuja sengerema(mjini) mwanza na mimi nije mbeya mjini anitafute kwa namba hii 0755814442
 
Wale wa tanga na moshi njoni karatu twn la uhakika utalii wa ukweli.contact me 0788628489
 
Jina: Suzana manjati
mahali: Nipo mkoa wa tanga wilaya ya kilindi
idara: Elimu sekondari

nataka kuhamia jiji la mbeya kama kuna mtu anataka tubadilishane tafadhali tuwasiliane 0767 009197
 
Njoo Tarime halmashauri idara ya Sec. mimi nije
Babati,
Karatu,
Meru,
Arumeru,
Hai
,
Same
au wilaya yoyote mkoa wa Tanga.

0752490349
 
Jina: mary peter 0787466649
Idara:secondary
NJOO BABATI - Mie nije RUNGWE'… AU Mbeya jIji / KYELA / BUSOKELO
 
Njoo Magu Mwanza elimu ya msingi kama uko Morogoro, kibaha, mkuranga, bagamoyo nicheki 0682 279435
 
NJOO LAELA SUMBAWANGA IDARA SEKONDARY NIJE:mbeya jiji,mbeya vijijini,rungwe ,busokelo,au kyela
 
Jamani ndugu zangu,njoo Laela sumbawanga idara ya sekondary nije,Mbeya mjn,mbeya vjjn,kyela,rungwe,au busokeka,AMBAE YUKO INTERESTED ANI PM
 
mwl idara sec niko Manyara-mbulu natafuta wa kubadilishana kutoka Tabora mjin au Rukwa sumbawanga mjin.0783689788
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…