mwl.njoo laela sumbawanga nije kyelanaitwa amina, mwalimu wa shule ya sekondari mjini kyela-mbeya.
Natafuta mwalimu mwenzangu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka kyela kwenda dodoma mjini.
Kwa mawasiliano zaidi:
+255 756013455
email:- [email protected]
kuna dodoma mkuu kam una wish kuja wilay y kongwakwa mwalm
ulyepo morogoro au kibaha na unapenda kubadilishana kituo cha kaz kuja shy (v), changamkia fursa kwa kumtafuta mwenzio kupitia 0714667046 au 0755784435 (idara ya msingi