Naitwa Amina, Mwalimu wa Shule ya Sekondari mjini kyela-Mbeya.
Natafuta Mwalimu Mwenzangu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka Kyela Kwenda Dodoma Mjini.
Kwa mawasiliano zaidi:
+255 756013455
email:- [email protected]
kuna dodoma mkuu kam una wish kuja wilay y kongwa
Njoo Singida!Njoo lushoto-tanga,nije iringa mjini,vijijin,kilolo au mufindi,mawasiliano ni pm.