ALOYCE MBWELWA
Member
- Aug 4, 2014
- 62
- 3
Njoo Songea idara ya sekondari nije Dodoma, Morogoro, Tanga (N.B wilaya yoyote katika mikoa niliyotaja naweza kwenda). Kama upo tayari nicheki hapa 0758507428, 0683853286
njoo nzega idara sec
Njoo Songea idara ya sekondari nije Dodoma, Morogoro, Tanga (N.B wilaya yoyote katika mikoa niliyotaja naweza kwenda). Kama upo tayari nicheki hapa 0758507428, 0683853286
nipigie 0713039875niko tanga mjini, vipi? Ningetamani kuja moro
Naomba uje laela sumbawanga ni karibu na momba. Je uko upo shule ganiNjoo wilaya ya RUNGWE nije wilaya ya MOMBA idara sekondari
mawasiliano 0766940747
Natafuta Mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi toka mwakaleli sekondari (w)Busokelo tukuyu kwenda iringa mjini/vijijini kwa mawasiliano ni PM
nipigie 0713039875
njoo nzega nije iringa mjini/ ringa vjjn /kibaha/dareslaam idara sec