WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo newala mtwara idara ya sekondari mimi nije WILAYA YOYOTE KATIKA MKOA WA TANGA ,Kwa mawasiliano zaidi nitafute katika namba 0783677207,0767665619 au 0717765619.
 
Njoo newala mtwara,mimi nije mbeya wilaya yoyote ile au sumbawanga mjini.idara ya elimu sekondari.ni cheki kwa 0765816326/0788399369
 
Mtu aje Tarime Mji mdogo wa Sirari mpakani mwa Kenya na Tanzania mimi niende Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Manyara wilaya yoyote. Usafiri full lami. anayetaka anitumie PM fasta.
 
Wewe wa korogwe njoo newala mtwara hapa kupata watu wa Tabora ni fasta utapata.nicheki ktk 0783677207 tubonge fresh
 
Njoo Tarime 0752490349 sec toka Arusha, Manyara, Tanga au Dodoma wilaya yoyote.
 
Nani ayashepu mazingira huko vijijini kama kila msomi anataka kukaa mjini? Tumeumbwa kuyashepu mazingira jamani. Wala sio mbaya kuhama.

sio kila mazingira unaweza kuyashape maana hata ndan mji kuna maendeleo tofauti
 
Mwl yupo Mtwara newala idara sec anatafuta mtu wa kubadirishana kutoka mkoa wa Tanga ktk wilaya Mheza,Lushoto,Na Handeni cont 0689976850
 
Njoo NEWALA-MTWARA mimi nije WILAYA YOYOTE ya MKOA WA TANGA idara ya SEKONDARI.Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia 0783677207,0767665619 na 0717765619.PIGA NA ISIPOPATIKANA NAMBA MOJA WAPO TUMA SMS NITAIPATA MIMI NITAKUPIGIA. Nawatakia kazi njema
 
Njoo Singida Iguguno Mkalama! Elimu msingi nije hapo home KOROGWE, AU MUHEZA,HANDEN,PNG,TANGA, CONTACT 0684711818.
 
Nipo Simanjiro, Manyara jirani sana na arusha mjini, idara ya sekondari, njoo huku mimi nije morogoro, iringa, njombe au songea. 0758132144
 
Back
Top Bottom