WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

mimi Mwalimu idara ya msingi nipo Tarakea mjini nataka kuhamia Moshi vijijini kwa yeyote aliye tayari ani-pm.
 
Habari, nipo Halmashauri ya kyerwa-Kagera natafuta mwalimu wa kubadilshananae upande wa secondary,kutoka Halmashauri ya Geita, sengerema, Magu, nyamagana&Ilemela..phone no.0764446452
 
Habar, nipo halmashauri ya Kyerwa-Kagera natafuta mwalimu wa kubadilishananae kituo cha kazi upande wa secondari kutoka halmashauri ya sengerema, Geita, Nyamagana, Ilemela&Magu..phone no.0764-446452
 
Habari za leo wana JF, mke wangu anahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye yupo Lushoto Tanga anahitaji kuja Geita mjini. Yeye ni mwalimu wa primary,kwa yeyote mwenye uhitaji huo au kama unamfahamu mtu mwenye uhitaji huo tafadhali naomba tuwasiliane kwa namba hizi 0768722424. Ahsanten
 
Ndugu wadau mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari wilaya ya Ukerewe. Nimeajiriwa mwaka jana. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka mikoa ya Morogoro,Tanga, Pwani na Dar es salaam.

Mawasiliano 0757920263 na 0718073753.

njoo dodoma mkuu nije hko mana ndo kwetu
 
Anaetaka kuja Bunda mjini idara ya sekondari nije mikoa ya Iringa, njombe na mbeya 0762742990,0688870502
 
uje longido mkoani arusha boda ya Namanga kuingia nairobi kma kawa,mimi nije arusha jiji au vijijini sekondari PM tufanyanye mambo
 
Mwalimu yupo iringa idara msingi anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka mbeya.
0718944909
0758159889
0756577198
 
Njoo NEWALA-MTWARA mimi nije wilaya YOYOTE ya mkoa wa TANGA idara ya sekondari,kwa mawasiliano zaidi piga simu 0783677207,0767665619 na 0717765619.PIGA AU TUMA SMS nitakujibu ndugu.
 
Ushauri kwa wana jf wenye malengo ya kubadilishana vituo vya kazi.
Nimegundua katika halmashauri zetu kuna matangazo mengi ya walimu wanaomba kubadilishana vituo vya kazi na mengi yao yamechakaa kwa kukosa majibu,Nawaombeni tukienda halmashauri tuwasaidie wenzetu kuleta data zao humu JF.
 
Njoo shy (v), mi nije mwanza (ilemela,nyamagana,sengerema) idara-msingi, 0762600121
 
Back
Top Bottom