WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo Tarime Sirari halafu mimi nije Babati, Arumeru, Meru, na Kilimanjaro na Tanga Wilaya yoyote idara ya secondary 0752490349
 
Mimi mwalimu Godfrey Siame wa Musoma(v) naomba kubadirishana kituo cha kazi na mwalimu yeyote aliyeko ktk mikoa ifuatayo; Iringa, Njombe, Mbeya, Songea na Rukwa

Mpigie huyu jamaa yupo Nkasi, Rukwa 0758031642
 
Niko idara ya sekondari kagera, wilaya ya karagwe natafuta wa kubadilishana nae awe anatokea kibaha, kisarawe, moro manispaa au mtwara manispaa, kwa mawasiliano 0757555316/ 0689262432
 
Wale wa Mtwara njooni Kama mpo Morogoro,Iringa,Mbeya,Njombe na Rukwa idara msingi 0689976850
 
Mwalimu yeyote anayehitaji kuja Tarime ktk mji wa Sirari idara ya secondary atokee Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga na Dodoma wilaya yoyote. 0752490349
 
MIMI MWL MARIA ANTONY WA IRINGA NATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAE KUTOKA KILIMANJARO IDARA YA MSINGI.0757034725 au 0762987701
 
Natafuta mwl wa kubadilishana. Idara ya msingi, yeye aende halmashauri ya Karatu na mke wangu aje Morogoro manispaa au wilaya za Jirani na manispaa. Ana Tsd no. Shule ina maji,umeme na nyumba za walimu, pia walimu wanapewa maeneo ya kulima. Shule iko barabara kuu ya kwenda mbulu so usafiri wa uhakika. Kama uko interested tuwasiliane kwa email [email protected]
 
shule inaitwa kizaga sekondari,ipo barabarani kabisa pia umeme upo mpaka shule- 0762078708(TAPELI USINISUMBUE)
 
Back
Top Bottom