WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

MIMI NIKO MAMLAKA YA MJI KOROGWE KTK IDARA YA ELIMU SEKONDAR.
MBADALA WANGU ATOKEE KAHAMA MJIN MPAKA MAENEO YA ISAKA(KAHAMA),NZEGA MJIN AU TBR MJIN.no yng ya cm 0755-106024 or 0788-290546

Kaka ntafutie wa msingi aje Iguguno mjini Mkalama D.C Singida ncheck pm!
 
Ni mwl niko rwangwa mjini natafuta wa kubadilishana nae kutoka.kibaha,mkoa wa pwani,kama upo tayari kwa mawasiliano 0789138138
 
IDARA YA MSINGI.
Anaetaka kuja SONGEA mkoa wa RUVUMA mimi nije mikoa ya..
1.TANGA.
2.MORO.
3.PWANI.
4.KIBITI.
5.KILIMANJARO.
Mawasiliano.
0713 552918.
0787 552918.
 
Ni issue kumpata mtu wa kubadilishana nae ..natafuta mtu aje laela sumbawanga IDARA ya sekondar nije halmashaur yoyote mkoa wa MBEYA
 
Natafuta wa kubadulishana nae, aje Mafia - Pwani mimi niende wilaya yoyote ya Tanga, Kilimanjaro au moro tuwasiliane, idara ya sekondari
 
Njoo mtwara niende Iringa,Njombe, Morogoro Mbeya na Rukwa idara mcng 0689976850
 
Anaetaka kuja kibondo mkoani kigoma ani pm fasta mi nataka maeneo ya kwetu manyara,babati,au arusha nawasilisha bonyeza 0764411446
 
Habari zenu Walimu na wadau mbalimbali?

Mimi natafuta mwalimu wa Sec wa kubadilishana nae. Yeye aje Ruangwa mm niende moja kati ya mikoa ya KINONDONI, BAGAMOYO, KIBAHA AU MORO TOWN.

Yeyote anayetokea moja ya sehemu hizo na angependa tubadikishane, tuwasiliane.

NB. Mchakato ukikamilika nitampatia 200000 na atazipokea kwa afisa Elimu- Ruangwa.

Tuwasiliane kwenye INBOX au 0684086635
 
Nipo MUSOMA(mara)
shule ya msingi
NATAKA kubadilishana kituo cha kazo NATAKA mikoa ya DAR,PWANI,MOROGORO,DODOMA au LINDI(mtwara)
 
Jamaaaaan hapa laela sumbawanga ni karib na tunduma naomba tubadilishane nipo IDARA ya sekondary niende MBEYA halmashaur yoyote
 
Habari wana JF niko Tarime katika mji mdogo wa Sirari mkoa wa Mara idara ya sec. Natafuta mtu wa kubadilishana naye atoke Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Dodoma na Tanga wilaya yoyote Mjulishe rafiki yako kama wewe haupo tayari. 0752490349
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana wa idara ya msingi, aje arusha(karatu) niende Morogoro manispaa, kilosa au mvomero. kama uko interested naomba uni pm
 
Back
Top Bottom