ni kweli mkuu
kuna jamaa yang yupo tbr jiran na town lakn wilaya uyui km upo fresh ni2mie pm.MIMI NIKO MAMLAKA YA MJI KOROGWE KTK IDARA YA ELIMU SEKONDAR.
MBADALA WANGU ATOKEE KAHAMA MJIN MPAKA MAENEO YA ISAKA(KAHAMA),NZEGA MJIN AU TBR MJIN.no yng ya cm 0755-106024 or 0788-290546
karibu kilimanjaro,nije moro.
Nipo Simanjiro, Manyara jirani sana na arusha mjini, idara ya sekondari, njoo huku mimi nije morogoro, iringa, njombe au songea. 0758132144
njoo Kibiti-Rufiji, Pwani mimi nije Tanga mjini idara ya sekondari. 0782699797/0655494981
nipo tayari kuja Tanga kaka.Tafadhali nitumie mawasiliano ya huyo nduguyo ili tuanze kufanya mchakato.Mimi pia nipo hapa Mjini Nansio.
Ndugu wadau mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari wilaya ya Ukerewe. Nimeajiriwa mwaka jana. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka mikoa ya Morogoro,Tanga, Pwani na Dar es salaam.
Ndugu wadau mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari wilaya ya Ukerewe. Nimeajiriwa mwaka jana. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka mikoa ya Morogoro,Tanga, Pwani na Dar es salaam.
Mawasiliano 0757920263 na 0718073753.