Ngao yangeyange
Member
- Jan 2, 2014
- 87
- 1
Kwa wale mnaotoka mikoa ya kusini au mnaopenda kufanya kazi mikoa ya kusini NJOO NEWALA-MTWARA idara ya SEKONDARI mimi nirudi nyumbani TANGA,Ktk wilaya yoyote kati ya hizi TANGA JIJI,MUHEZA,LUSHOTO,KOROGWE,HANDENI,KILINDI,BUMBULI AU MKINGA.Kwa aliyekuwa tayari naomba tuwasiliane kupitia namba zifuatazo 0783677207,0767665619 au 0717765619