WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

npo mwanza jiji nataka nije dar ww uje mwanza jiji.Idara msingi.nicheck kwa no0756146483
 
Jaman walimu kuweni makini sana na utapeli humu ndan.kuna mtu jana kanipigia simu akidai ni afisa utumishi kutoka makao makuu dar.lakin nimeenda nae sawa kwasababu nilishapewa tahadhari.nakupa nawe mwenzangu...kuwa makin
 
mwl yupo Iguguno Sec Singida anahitaji mwenzie wabadilishane vituo vya kazi aidha Babati au dodoma! Ncheck pm.
 
Back
Top Bottom