WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Tubadilishane Kituo cha Kazi:
Njoo Tanga idara ya Sekondari nije Kilimanjaro.Nicheki Kwa No.0714295084 Tufanye Mchakato!
 
Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka mkoa wa Mwanza wilaya yoyote. Mwenye uhitaji anitafute kwa namba 0764914405
 
Mwalimu idara ya elimu sekondari Njoo kasulu mjini niende dar, kibaha, moro, iringa,mbeya, bagamoyo, mtwara, lind manispaa,arusha,kilimanjaro au songea. Tusomane kwa 0759167916 au 0715167916
 
Mwalimu Gloria Benson yupo wilaya ya Iramba idara ya sec anatafta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa dar, mtafte kwa 0753588636. Ahsanteni
 
Mwalimu Gloria Benson yupo Wilaya ya Iramba-Singida, anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa dar idara ya sekondari, mtafte kwa 0753588636
 
Nipo wilaya ya Iramba idara ya sekondari, natafuta mwalimu kutokea mkoa wa Arusha ili tubadilishane vituo vya kazi. Nitafte kwa 0757606552.
 
Kwa mwalim aliyeko mwanza wilaya yeyote isipokua ukerewe kutana na mwenzako aliyeko karatu mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi idara ya msingi wasiliana kupitia namba 0753738325
 
jaman yeyeto aliyeko dodoma municipal,iringa,morogoro,mbeya,sumbawanga tuwasiliane yy aje muleba-kagera idara ya secondar phone no0755049854
 
Nipo manispaa ya kigoma-ujiji kama upo nyamagana, ilemela au sengerema na unataka kuja huku tutaftane
 
njoo lushoto tanga nije masas,newala au nanyumbu zote zipo mt au mtwara mjini ni PM or 0714994228/0688264401
 
Back
Top Bottom