Njoo Ilala idala ya secondary mimi niende Kigoma wilaya yoyote, Rukwa wilaya, Singida wilaya yoyote au Mara
Nipo kigoma mjini tuwasiliane
Njoo Ilala idala ya secondary mimi niende Kigoma wilaya yoyote, Rukwa wilaya, Singida wilaya yoyote au Mara
Acha kuleta ufyetere dogo humu watu wapo serious.
Jamani wakazi wa moshi toka mwanza tubadilishane nije MWANZA UJE MOSHI idara ya sec
mwl wa ushetu-shinyanga anatafuta mwl wa kubadilishana naye. contact zake 0758788208
Vip,ukija iringa wilaya ya mufindi?
NJOO iramba-kiomboi nije mbeya mjini,vijini au mbarali 0762078708
wewe uende wapi mm nipo ulanga nataka nije hukonjoo ilala