Kiongozi Mwalimu
Member
- Sep 15, 2014
- 23
- 5
Kwa mwalimu anayehitaji kuhamia mikoa ya Lindi au Mtwara idara ya elimu ya msingi awe anatoka mikoa ya Tabora ,Kigoma,Shinyanga,Mpanda,Dodoma au Geita.Tuwasiliane kwa namba 0766601661 au 0682733232 asanteni na kazi njema