WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu nipo Namtumbo songea natafut mtu wa kubadilishana nae anaetoka mbeya jiji, mbozi na momba alietayari tuwasiliane 0659742482
 
Njoo Newala-Mtwara kwa waziri kapt George Mkuchika idara ya sekondari mimi nirudi nyumbani TANGAa wilaya kati ya hizi Tanga jiji,Muheza,Lushoto,Korogwe,Bumbuli Handeni au Kilindi.kwa mawasiliano nitafute katika namba 0783677207,0767665619 au 0717765619
 
Mimi namtafuta mwalimu wa kubadilishana nae, niko halmashauri ya kilwa sekondari, nataka kuamia Pwani au Dar au Moro no yangu ni 0782777803
 
Mimi Mwl.. karatu - Arusha.. idara msingi. nataka wakubadilshana name wa moshi popote.
mawsiliano 0753829782
 
Anayetaka kuja Nansio-Ukerewe mjini, Mwanza na mm nije Geita Idara ya Sekondari tuwasiliane kupitia:

0716 79 69 08
 
Nenda CHATO MJINI_GEITA mdogo wangu aje MOROGORO MANISPAA, DODOMA MANISPAA AU MWANZA JIJI. Idara ya sec. Wasiliana nae:0764264315.
 
Habari walimu, Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kaz yeye aje Kondoa mi niende Mbeya
 
Hbr walimu wenzangu!

Niko rukwa idara secondari

natafta mwalimu wakubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ifuatayo!

Arusha

tanga

kilimanjaro

manyara

morogoro

dodoma

PHONE. 0763240278
 
Back
Top Bottom