WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

kwa anayetaka kuja dodoma manispaa akitokea morogoro manispaa
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari ktk wilaya ya Busega mkoa wa Simiyu,nahitaji mtu wa kubadilishana naye ili niende Wilaya ya Misungwi yeye aje Busega. Tutafutane 0719103278,0768607418
 
Njoo Newala-mtwara idara ya sekondari mimi nirudi nyumbani TANGA kati ya wilaya za TANGA JIJI,MUHEZA,MKINGA,KOROGWE,BUMBULI,KILINDI AU LUSHOTO.kwa MAWASILIANO naomba tuwasiliane kupitia namba 0783677207,0767665619 Au 0717765619. Piga,TUMA MSG AU BIP NITAKUPIGIA
 
Kwa wale wanao taka kuja MTWARA,NJOO NEWALA-MTWARA mimi nije TANGA idara ya sekondari.yeyote aliyekuwepo kati ya wilaya ya MUHEZA,TANGA JIJI,HANDENI,LUSHOTO,KOROGWE,BUMBULI,KILINDI AU MKINGA kwa yeyote aliyetayari naomba tuwasiliane haraka ili tuanze mchakato,kwa mawasiliano zaidi nitafute katika namba zifuatazo 0783677207,0767665619 Na 0717765619
 
Japo huu uzi wa mda mrefu lakini nimesikitika sana..elimu nikitu muhimu sana hasa kuuliza na kujifunza na si kumkejeli muhusika. Halafu utegemee hakujibu. Bado tunasafari ndefu sana watanzania hatujifunzi tupo tupo tu.
 
Ww uko idara gan? Msingi au upili?
Kama uko msingi kuna mwalim yupo serenget utakuwa karibu na tarime kama vp nikuunganishe nae.

Kama utakuwa SEKONDARI kuna jamaa yupo RORYA nikuunganishe nae.Nipm au nichek kwa namba 0783 834834
 
IDARA YA MSINGI KWA WANA CWT WENYE MAHITAJI.

Njoo ukerewe ukitokea shinyanga na wilaya zake,mcheki mdogo wangu kwa namba 0758 484726.
 
Natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi. yeye aje huku kigoma wilaya ya Buhigwe shule ya msingi Mgogo.

atakayekuwa tayari kutoka mikoa ifuatayo, Mbeya, Sumbawanga(rukwa), Njombe na Iringa.tuwasiliane kupitia pm:hail:
Ingekuwa masasi ungenipata nipo tayari kwenda kigoma.
 
Walimu anayetaka kuja Iringa Manispaa mi niende Moro manispaa. S/Msingi
 
Back
Top Bottom