Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
Mmmmhh
Mbona sioni anayetaka kuja singida loh!!!! Naona Dar tu !(tutabanana hukohuko!!!!)
Em ngoja namiye nijaribu !!
jamani anayetaka kurudi kwao huku singidani vijijini na miye nrudi kwetu Dar/moro achangamkie fursa nafasi imebaki moja!!!!(Sek) mweehh!!!
full umeme nini maji samaki loh!!!viwanja laki 7 tu ushajenga mgorofa huo!! loh fursa njenje!!!!
haya mengine tukutane PM
khaaa!!!