WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Naitwa Emmanuel Mpesha mwalimu Idara ya secondary kwa aliye tayari tubadilishane uje mbeya Rungwe Tukuyu mimi nije wilaya ya Mbozi au Momba Mbeya. Namba 0768117713
 
Kwa mwalim aliyeko mwanza wilaya ya magu kutana na mwenzako aliyeko karatu mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi idara ya msingi wasiliana kupitia namba 0753738325/0754039566
 
Natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara ya sekondari,mimi nipo same nahitaji kwenda wilaya kati ya moshi (m),hai au arusha (m)

tuwasiliane kwa namba
0683874863
 
Jamani wale wa tanga na kilimanjaro njoni karatu arusha mm nije huko.contact 0788628489
 
NIPO NGORONGORO ARUSHA IDARA YA SEC/karibu na karatu),!natafta wa mkuranga, kibaha,tanga jj au lushoto,kisarawe,moro mjni au mby mjini.0659622029.
 
Anaetaka kuja SONGEA mimi nije mikoa ifuatayo.1.MORO.2.TANGA.3.PWANI.4.DAR.Mawasiliano.0787552918au0713552918
 
Nahitaji kwenda moja kati ya manispaa za Ilala, Kinondoni au Temeke (DSM). Mimi nipo jiji la Mwanza (Nyamagana) sekondari. Mawasiliano: 0756 808875 au 0784 821973.
 
Back
Top Bottom