WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Evelym best, unaweza kusogea hapa jiran ni rahisi zaid kufika dar
 
Asante best, ila ukisikia anayetaka kuja tanga kutoka hapo hai au maeneo jiran, nisaidie wangu.
 
Wale wa mtwara na mikoa ya kusini kwa jumla ambao mpo mkoa wa Tanga.NJOO NEWALA-MTWARA mimi nije MKOA WA TANGA ktk halmashauri ya TANGA JIJI,MUHEZA,LUSHOTO,KOROGWE,KILINDI,BUMBULI AU MKINGA.Kwa mawasiliano naomba nitafute ktk namba 0783677207,0767665619 au 0717765619. Ahsanteni walimu wenzangu
 
Nipo kasulu mjini idara ya sekondari natafuta wa kubadilishana mikoa ifuayayo Iringa, mbeya, mtwara, lindi,pwani, bagamoyo na dar 0759167916
 
Mimi ni mwalimu Idara ya Secondary natafuta wa kubadirishana nae awe anatokea mikoa ya Morogoro,Iringa,Pwani na Mwanza mimi nipo Halmashauri ya Bukoba...0765521169
 
Nipo Masasi idara ya Msingi
natafuta wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya;
ARUSHA
KILIMANJARO
MOROGORO
TANGA
MANYARA
MWANZA

aliye tayari tuwasiliane 0757 974776:;
0685 259455
[email protected]
 
Nafundisha Tarime idara ya sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana naye toka Arumeru-Arusha au Babati-Manyara. Phone +255752490349.
 
njoo dodoma mjini (manispaa) mimi nije babati mjini, moshi manispaa, morogoro manispaa, hai-kilimanjaro
kama upo tayari 0758121353, 0684533627, 071769022
1
 
Back
Top Bottom