WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi mwal idara ya Sec.nipo halmashauri ya W/ Mkinga Tanga,nabadilishana na mwl.aliyetayari kuja huku mi nihamie Kilosa,Mvomero au Gairo...Shule ipo kilometer 4 kutoka makao makuu ya wilaya....Kilometer 35 Tanga mjini na nauli kwenda mjini Tanga ni sh.2500...full lami....mwenye interest comment uzi huu nikupe contact.
 
Njoo manyara mpakani kabisa na moshi vjjn nauli toka hapo hadi mosh mjini buku moja.umeme, na usafir masaa 24.kama ww ni mwenyej wa moshi huku tpc .
 
anayetaka kufanya kaz wilaya ya kasulu mimi nije manyara, korogwe moshi dodoma na moro
 
njoo ARUSHA ngorongoro idara ya sec kama unatoka mkuranga,kibaha,bagamoyo,moro mjin,kisarawe hata mby mjin au tanga mjin.0766723300.SHULE IPO KARIBU NA KARATU MJINI USAFIR DAILY PAMOJA NA TEACHING ALLOWANCE INAYOTOLEWA NA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO KILA MWEZI.
 
Bado nazidi kuwatahadharisha wana #JF juu matapeli wana vi SMS vya mtego mfano(Mimi nimefanikiwa au Mimi Afsa TAMISEMI nitakusaidia) NA wanadai uwatumie details zako ikiwepo check No. NA atadai kiasi nusu ya PESA mchakato ukiisha ummalizie.
MWL UKIONA SMS au MTU ANAKUAMBIA UMPE PESA JUA NI TAPERI siku sio nyingi nitaanika no Zao humu Mimi washawahi hata Kunitishia amani eti nawaharibia kisa niliwafungua watu macho kama hivi.
Mwl na watumishi wengine njia sasahihi NA rahisi ni kutafuta wa kubadilishana nae NA kama huwezi kuweka tangazo humu JF nitafute kwa no 0756231236 au 0689270867 nitakusaidia kuweka TANGAZO.
Nawatakieni kazi njema mungu awatangulie sana Aamina.
 
Njoo Songea idara ya sekondari nije Dodoma, Morogoro, Tanga (N.B wilaya yoyote katika mikoa niliyotaja naweza kwenda). Kama upo tayari nicheki hapa 0758507428, 0683853286
 
Njoo kishapu(maganzo) idara ya sekondari ili nije huko.
1. MWANZA(ILEMELA/NYAMAGANA)
2. MOROGORO MJI/KILOMBERO
3. DODOMA
NI PM FASTA.
 
Njoo Mkinga Tanga mi nije Kilosa,Gairo, Mvomero au Mbinga....koment uzi huu tuwasiliane
..Idara ya Sec.
 
Njoo simanjiro manyara mimaa kuna shule oljoro kambi ya jeshi mpakani kabisa mwa arusha jiji na simanjiro unaweza kuishi maeneo ya kwa muromboo ukaenda shule na kurud.
 
Back
Top Bottom