Chrispin ndauka
Member
- Jul 13, 2013
- 14
- 1
Crispin hebu, tuwasiliane kama tutaelewana, mimi nipo wilaya ya Rungwe, halmashauri ya Busokelo, Lufilyo high school. 0683436242
Mkuu hata wewe mwalimu mzima unaandika Xo badala ya So kweli?
Ni uamuzi tu hasa kutaka sogea jirani na nyumbanisasa kama huduma zote zipo unahama ili iweje? Mbona kutoka kilimanjaro hadi mikoa hiyo sio mbali?